Deuteronomy 3:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha, tuligeuka, tukapanda kuelekea Bashani. Mfalme Ogu alitoka na watu wake wote kupigana nasi karibu na mji wa Edrei.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha tukageuka tukakwea kufuata njia iliyoelekea Bashani, Ogu mfalme wa Bashani akaondoka na jeshi lake lote kupigana na sisi huko Edrei.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo tukageuka, tukakwea njia ya Bashani; na Ogu, mfalme wa Bashani, akatutokea juu yetu, yeye na watu wake wote, kuja kupigana huko Edrei.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha, tuligeuka, tukapanda kuelekea Bashani. Mfalme Ogu alitoka na watu wake wote kupigana nasi karibu na mji wa Edrei.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha tukageuka tukakwea kufuata barabara iliyoelekea Bashani, Ogu mfalme wa Bashani akaondoka na jeshi lake lote kupigana na sisi huko Edrei.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha tukageuka tukakwea kufuata njia iliyoelekea Bashani, Ogu mfalme wa Bashani akaondoka na jeshi lake lote kupigana na sisi huko Edrei.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo tukageuka, tukakwea njia ya Bashani; na Ogu, mfalme wa Bashani, akatutokea juu yetu, yeye na watu wake wote, kuja kupigana nasi huko Edrei.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha, tuligeuka, tukapanda kuelekea Bashani. Mfalme Ogu alitoka na watu wake wote kupigana nasi karibu na mji wa Edrei.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha tukageuka, tukapanda na kushika njia ya Basani. Naye Ogi, mfalme wa Basani, akatoka, atujie yeye pamoja na watu wake wote, wapigane nasi kule Edirei.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo tukageuka, tukakwea njia ya Bashani; na Ogu, mfalme wa Bashani, akatutokea juu yetu, yeye na watu wake wote, kuja kupigana huko Edrei.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kisha, tukageuka, tukapanda kuelekea Basani. Mufalme Ogi akatoka na watu wake wote kwa kupigana nasi karibu na muji wa Edirei.