Deuteronomy 3:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na watu wa makabila ya Reubeni na Gadi niliwapa nchi yote kutoka Gileadi hadi mto Arnoni. Mpaka wao wa kusini ulikuwa katikati ya mto na wa kaskazini ulikuwa mto Yaboki ambao ndio unaopakana na nchi ya Waamori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini niliwapa Wareubeni na Wagadi eneo kuanzia Gileadi hadi Bonde la Arnoni (katikati ya bonde ulikuwa ndio mpaka), kuelekea hadi Mto Yaboki, ambao ndio mpaka wa Waamoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Wareubeni na Wagadi niliwapa tokea Gileadi mpaka bonde la Arnoni, katikati ya bonde, na mpaka wake; mpaka mto wa Yaboki, nao ni mpaka wa wana wa Amoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na watu wa makabila ya Reubeni na Gadi niliwapa nchi yote kutoka Gileadi hadi mto Arnoni. Mpaka wao wa kusini ulikuwa katikati ya mto na wa kaskazini ulikuwa mto Yaboki ambao ndio unaopakana na nchi ya Waamori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini niliwapa Wareubeni na Wagadi eneo kuanzia Gileadi hadi Bonde la Arnoni (katikati ya bonde ulikuwa ndio mpaka), kuelekea mpaka Mto Yaboki, ambao ndio mpaka wa Waamoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini niliwapa Wareubeni na Wagadi eneo kuanzia Gileadi hadi Bonde la Arnoni (katikati ya bonde ulikuwa ndio mpaka), kuelekea mpaka Mto Yaboki, ambao ndio mpaka wa Waamoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Wareubeni na Wagadi niliwapa tokea Gileadi mpaka bonde la Arnoni, katikati ya bonde, na mpaka wake; mpaka mto wa Yaboki, nao ni mpaka wa wana wa Amoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na watu wa makabila ya Reubeni na Gadi niliwapa nchi yote kutoka Gileadi hadi mto Arnoni. Mpaka wao wa kusini ulikuwa katikati ya mto na wa kaskazini ulikuwa mto Yaboki ambao ndio unaopakana na nchi ya Waamori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Warubeni na Wagadi nikawapa kipande cha Gileadi mpaka kijito cha Arnoni, mpaka uwe mtoni katikati; tena mpaka ukafika kijito cha Yakobo ulio mpaka wa wana wa Amoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Wareubeni na Wagadi niliwapa tokea Gileadi mpaka bonde la Arnoni, katikati ya bonde, na mpaka wake; mpaka mto wa Yaboki, nao ni mpaka wa wana wa Amoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na watu wa makabila ya Rubeni na Gadi nikawapa inchi yote kutoka Gileadi mpaka muto Arnoni. Mupaka wao wa kusini ulikuwa muto ule na wa kaskazini ulikuwa muto Yaboki ambao ndio unaopakana na inchi ya Waamori.