Deuteronomy 3:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiwaogope maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye atakayepigana kwa ajili yenu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiwaogope, Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, atapigana kwa ajili yenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiwache, kwa kuwa Bwana, Mungu wenu, ndiye awapiganiaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiwaogope maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye atakayepigana kwa ajili yenu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiwaogope, BWANA Mungu wenu atapigana kwa ajili yenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiwaogope, bwana Mwenyezi Mungu wenu atapigana kwa ajili yenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msiwaache, kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye awapiganiaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiwaogope maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye atakayepigana kwa ajili yenu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiwaogope! Kwani Bwana Mungu wenu ndiye atakayewapigia vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiwache, kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye awapiganiaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musiwaogope maana Yawe, Mungu wenu, ndiye atakayepigana kwa ajili yenu.’