Deuteronomy 3:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wakati huo nilimsihi Mwenyezi-Mungu nikisema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo nilimsihi Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikamnyenyekea Bwana wakati huo, nikamwambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wakati huo nilimsihi Mwenyezi-Mungu nikisema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo nilimsihi BWANA:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo nilimsihi bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikamnyenyekea BWANA wakati huo, nikamwambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wakati huo nilimsihi Mwenyezi-Mungu nikisema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hizo nikambembeleza Bwana kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikamnyenyekea BWANA wakati huo, nikamwambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Wakati huo nikamusihi Yawe nikisema: