Deuteronomy 3:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakuomba nivuke mto Yordani, niione nchi hiyo nzuri magharibi ya Yordani; naam, nchi nzuri ya kupendeza ya milima, pamoja na milima ya Lebanoni’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Acha niende nikaione hiyo nchi nzuri ng’ambo ya Yordani, ile nchi nzuri ya vilima na Lebanoni.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nakuomba nivuke, nikaione hiyo nchi nzuri iliyoko ng'ambo ya Jordani, mlima ule mzuri, na Lebanoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakuomba nivuke mto Yordani, niione nchi hiyo nzuri magharibi ya Yordani; naam, nchi nzuri ya kupendeza ya milima, pamoja na milima ya Lebanoni’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Acha niende nikaione hiyo nchi nzuri ng'ambo ya Yordani, ile nchi nzuri ya vilima na Lebanoni.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Acha niende nikaione hiyo nchi nzuri ng’ambo ya Yordani, ile nchi nzuri ya vilima na Lebanoni.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nakuomba nivuke, nikaione hiyo nchi nzuri iliyoko ng'ambo ya Yordani, mlima ule mzuri, na Lebanoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakuomba nivuke mto Yordani, niione nchi hiyo nzuri magharibi ya Yordani; naam, nchi nzuri ya kupendeza ya milima, pamoja na milima ya Lebanoni’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nipe ruhusa, nivuke, niione nchi hiyo njema iliyoko ng'ambo ya Yordani, hiyo milima mizuri, nayo ya Libanoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nakuomba nivuke, nikaione hiyo nchi nzuri iliyoko ng’ambo ya Jordani, mlima ule mzuri, na Lebanoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakuomba nivuke muto Yordani, niione inchi hiyo nzuri upande wa magaribi wa Yordani, hakika, inchi nzuri ya kupendeza ya milima, pamoja na milima ya Lebanoni’.