Deuteronomy 3:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini Mwenyezi-Mungu alinikasirikia kwa sababu yenu, akakataa kunisikiliza. Badala yake aliniambia, ‘Inatosha! Usiseme tena jambo hili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa sababu yenu Mwenyezi Mungu alinikasirikia na hakutaka kunisikiliza. Mwenyezi Mungu aliniambia, “Hilo latosha; usiseme nami jambo hili tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Bwana alikuwa amenikasirikia kwa ajili yenu, asinisikize; Bwana akaniambia, Na ikutoshe, usinene nami zaidi jambo hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini Mwenyezi-Mungu alinikasirikia kwa sababu yenu, akakataa kunisikiliza. Badala yake aliniambia, ‘Inatosha! Usiseme tena jambo hili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwa sababu yenu BWANA alinikasirikia na hakutaka kunisikiliza. BWANA aliniambia, “Hilo latosha; usiseme nami jambo hili tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa sababu yenu bwana alinikasirikia na hakutaka kunisikiliza. bwana aliniambia, “Hilo latosha; usiseme nami jambo hili tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini BWANA alikuwa amenikasirikia kwa ajili yenu, asinisikilize; BWANA akaniambia, Na ikutoshe, usinene nami zaidi jambo hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini Mwenyezi-Mungu alinikasirikia kwa sababu yenu, akakataa kunisikiliza. Badala yake aliniambia, ‘Inatosha! Usiseme tena jambo hili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bwana alikuwa amenikasirikia kwa ajili yenu, kwa hiyo Bwana hakunisika, akaniambia: Acha tu! Usiseme tena na mimi kwa ajili ya shauri hili!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini BWANA alikuwa amenikasirikia kwa ajili yenu, asinisikize; BWANA akaniambia, Na ikutoshe, usinene nami zaidi jambo hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini Yawe akanikasirikia kwa sababu yenu, akakataa kunisikiliza. Pahali pake akaniambia: ‘Inatosha! Usiseme tena jambo hili.