Deuteronomy 3:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mpe Yoshua maagizo, umtie moyo na kumuimarisha, maana yeye ndiye atakayewaongoza watu hawa hadi ngambo, kuimiliki nchi utakayoiona’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mwagize Yoshua, mtie moyo na umtie nguvu, kwa kuwa yeye atawaongoza watu hawa hadi ng’ambo na kuwarithisha nchi utakayoiona.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mwagize Yoshua umtie moyo mkuu, umtie na nguvu; kwani ndiye atakayevuka mbele ya watu hawa, na nchi utakayoiona atawarithisha yeye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mpe Yoshua maagizo, umtie moyo na kumuimarisha, maana yeye ndiye atakayewaongoza watu hawa hadi ng'ambo, kuimiliki nchi utakayoiona’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mwagize Yoshua, mtie moyo na umtie nguvu, kwa kuwa yeye atawaongoza watu hawa hadi ng'ambo na kuwarithisha nchi utakayoiona.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mwagize Yoshua, mtie moyo na umtie nguvu, kwa kuwa yeye atawaongoza watu hawa hadi ng’ambo na kuwarithisha nchi utakayoiona.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mwagize Yoshua, mtie moyo na nguvu, umtie na nguvu; kwani ndiye atakayevuka mbele ya watu hawa, na nchi utakayoiona atawarithisha yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mpe Yoshua maagizo, umtie moyo na kumuimarisha, maana yeye ndiye atakayewaongoza watu hawa hadi ngambo, kuimiliki nchi utakayoiona’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwagizie Yosua mambo yako! Mtie nguvu na kumshikiza moyo! Kwani yeye ndiye atakayevuka mbele ya watu hawa, naye ndiye atakayewagawia nchi hiyo, utakayoiona, iwe yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mwagize Yoshua umtie moyo mkuu, umtie na nguvu; kwani ndiye atakayevuka mbele ya watu hawa, na nchi utakayoiona atawarithisha yeye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini umupe Yoshua maagizo, umutie moyo na kumwimarisha, maana yeye ndiye atakayewaongoza watu hawa mpaka ngambo, kurizi inchi utakayoiona’.