Deuteronomy 3:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miji yote hii ilikuwa na ngome zenye kuta ndefu, zilizokuwa na malango na makomeo. Kulikuwa pia na vijiji vingi ambavyo havikuzungukwa na kuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji yote hii ilijengewa ngome zenye kuta ndefu zenye malango na makomeo; pia kulikuwa na vijiji vingi ambavyo havikujengewa kuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miji hiyo yote ilikuwa yenye maboma marefu, na malango, na makomeo, pamoja na miji isiyokuwa na maboma, mingi sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miji yote hii ilikuwa na ngome zenye kuta ndefu, zilizokuwa na malango na makomeo. Kulikuwa pia na vijiji vingi ambavyo havikuzungukwa na kuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji yote hii ilijengewa ngome zenye kuta ndefu zenye malango na makomeo, pia kulikuwako na vijiji vingi ambavyo havikujengewa kuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji yote hii ilijengewa ngome zenye kuta ndefu zenye malango na makomeo, pia kulikuwako na vijiji vingi ambavyo havikujengewa kuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miji hiyo yote ilikuwa yenye maboma marefu, na malango, na makomeo, pamoja na vijiji visivyokuwa na maboma, vingi sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miji yote hii ilikuwa na ngome zenye kuta ndefu, zilizokuwa na malango na makomeo. Kulikuwa pia na vijiji vingi ambavyo havikuzungukwa na kuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji hiyo yote ilikuwa yenye maboma magumu na marefu na malango na makomeo; tena tukapata miji mingi sana iliyokuwa wazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miji hiyo yote ilikuwa yenye maboma marefu, na malango, na makomeo, pamoja na miji isiyokuwa na maboma, mingi sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miji yote hii ilikuwa na makimbilio yenye kuta ndefu zilizokuwa na milango na vifungio. Kulikuwa vilevile vijiji vingi ambavyo havikuzungukwa na kuta.