Deuteronomy 3:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mifugo yote na mali tulichukua nyara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wanyama wote wa kufuga pamoja na nyara kutoka miji yao tulichukua vikawa vyetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wanyama wote wa mji, na nyara za miji, tulitwaa kuwa mawindo yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mifugo yote na mali tulichukua nyara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wanyama wote wa kufuga pamoja na nyara kutoka kwenye miji yao tulichukua vikawa vyetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wanyama wote wa kufuga pamoja na nyara kutoka kwenye miji yao tulichukua vikawa vyetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wanyama wote wa mji, na nyara za miji, tulitwaa kuwa mawindo yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mifugo yote na mali tulichukua nyara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nyama wa kufuga wote na nyara za miji tukajichukulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wanyama wote wa mji, na nyara za miji, tulitwaa kuwa mawindo yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mifugo yote na mali tukaviteka.