Deuteronomy 3:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wakati huo tuliitwaa nchi hiyo ya wale wafalme wawili wa Waamori waliokuwa wanakaa ngambo ya mto Yordani, katikati ya mto Arnoni na mlima Hermoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo kwa wakati huo tukachukua kutoka kwa wafalme hawa wawili wa Waamori nchi ya mashariki mwa Yordani, kutoka Bonde la Arnoni hadi kufika kwenye Mlima Hermoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tukaitwaa na nchi wakati huo, katika mikono ya hao wafalme wawili wa Waamori waliokuwa ng'ambo ya Yordani, tokea bonde la Arnoni mpaka kilima cha Hermoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wakati huo tuliitwaa nchi hiyo ya wale wafalme wawili wa Waamori waliokuwa wanakaa ng'ambo ya mto Yordani, katikati ya mto Arnoni na mlima Hermoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo kwa wakati huo tukachukua kutoka kwa wafalme hawa wawili wa Waamori nchi ya mashariki ya Jordani, kutoka Bonde la Arnoni mpaka kufika kwenye Mlima Hermoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo kwa wakati huo tukachukua kutoka kwa wafalme hawa wawili wa Waamori nchi ya mashariki ya Yordani, kutoka Bonde la Arnoni mpaka kufika kwenye Mlima Hermoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tukaitwaa na nchi wakati huo, katika mikono ya hao wafalme wawili wa Waamori waliokuwa ng'ambo ya Yordani, kutoka bonde la Arnoni mpaka kilima cha Hermoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wakati huo tuliitwaa nchi hiyo ya wale wafalme wawili wa Waamori waliokuwa wanakaa ngambo ya mto Yordani, katikati ya mto Arnoni na mlima Hermoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, tulivyozichukua siku hizo nchi za wafalme wawili wa Waamori waliokaa ng'ambo ya huku ya Yordani toka kijito cha Arnoni mpaka milimani kwa Hermoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tukaitwaa na nchi wakati huo, katika mikono ya hao wafalme wawili wa Waamori waliokuwa ng’ambo ya Yordani, tokea bonde la Arnoni mpaka kilima cha Hermoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Wakati huo tukatwaa inchi hiyo ya wale wafalme wawili wa Waamori waliokuwa wanakaa ngambo ya muto Yordani, katikati ya muto Arnoni na mulima Hermoni.