Deuteronomy 30:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ikiwa mtiatii sauti yake na kushika amri na masharti yake yaliyoandikwa katika kitabu hiki cha sheria na kumrudia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wote na roho yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama utamtii Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na kuzishika amri zake na maagizo yake ambayo yameandikwa katika Kitabu hiki cha Torati, na kumgeukia Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukiwa utaifuata sauti ya Bwana, Mungu wako, kwa kuyashika maagizo yake, na amri zake zilizoandikwa katika chuo hiki cha torati; ukimwelekea Bwana, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ikiwa mtiatii sauti yake na kushika amri na masharti yake yaliyoandikwa katika kitabu hiki cha sheria na kumrudia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wote na roho yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama ukimtii BWANA Mungu wako, na kuzishika amri zake na maagizo yake ambayo yameandikwa katika Kitabu hiki cha Sheria, na kumgeukia BWANA Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama ukimtii bwana Mwenyezi Mungu wako, na kuzishika amri zake na maagizo yake ambayo yameandikwa katika Kitabu hiki cha Torati, na kumgeukia bwana Mwenyezi Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukiwa utaifuata sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa kuyashika maagizo yake, na amri zake zilizoandikwa katika kitabu hiki cha torati; ukimwelekea BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ikiwa mtiatii sauti yake na kushika amri na masharti yake yaliyoandikwa katika kitabu hiki cha sheria na kumrudia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wote na roho yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo utayapata utakapoisikia sauti ya Bwana Mungu wako, uyaangalie magizo na maongozi yake yaliyoandikwa katika kitabu cha Maonyo haya, utakapomrudia Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukiwa utaifuata sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa kuyashika maagizo yake, na amri zake zilizoandikwa katika chuo hiki cha torati; ukimwelekea BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ikiwa mutatii sauti yake na kushika amri na masharti yake yaliyoandikwa katika kitabu hiki cha sheria na kumurudilia Yawe, Mungu wenu, kwa moyo wote na roho yote.