Deuteronomy 30:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wala haziko ngambo ya bahari, hata mseme, ‘Nani atakayevuka bahari atuletee ili tuzisikie na kuzitii.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wala hakiko ng’ambo ya bahari, ili uulize, “Ni nani atakayevuka bahari kwenda kukichukua na kututangazia ili tupate kutii?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala si ng'ambo ya pili ya bahari, hata useme, Ni nani atakayetuvukia bahari, akatuletee, aje atuambie, tusikie, tupate kuyafanya?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wala haziko ng'ambo ya bahari, hata mseme, ‘Nani atakayevuka bahari atuletee ili tuzisikie na kuzitii.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wala hakiko ng'ambo ya bahari, ili uulize, “Ni nani atakayevuka bahari kwenda kukichukua na kututangazia ili tupate kutii?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wala hakiko ng’ambo ya bahari, ili uulize, “Ni nani atakayevuka bahari kwenda kukichukua na kututangazia ili tupate kutii?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala si ng'ambo ya pili ya bahari, hata useme, Ni nani atakayetuvukia bahari, akatuletee, aje atuambie, tusikie, tupate kuyafanya?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wala haziko ngambo ya bahari, hata mseme, ‘Nani atakayevuka bahari atuletee ili tuzisikie na kuzitii.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala haliko ng'ambo ya bahari, useme: Yuko nani atakayetuvukia bahari kwenda ng'ambo ya huko kulichukua na kutuletea, tulisikie, tupate kulifanya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala si ng’ambo ya pili ya bahari, hata useme, Ni nani atakayetuvukia bahari, akatuletee, aje atuambie, tusikie, tupate kuyafanya?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wala haziko ngambo ya bahari, hata museme: ‘Nani atakayevuka bahari atuletee kusudi tuzisikie na kuzitii.’