Deuteronomy 30:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sivyo, ila zipo karibu nanyi, vinywani mwenu na mioyoni mwenu, mpate kuzitekeleza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
La hasha! Lile neno liko karibu sana nawe; liko kinywani mwako na ndani ya moyo wako ili uweze kulitii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini neno li karibu nawe sana, li katika kinywa chako na moyo wako, upate kulifanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sivyo, ila zipo karibu nanyi, vinywani mwenu na mioyoni mwenu, mpate kuzitekeleza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
La hasha! Lile neno liko karibu sana nawe; liko kinywani mwako na ndani ya moyo wako ili uweze kulitii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
La hasha! Lile neno liko karibu sana nawe; liko kinywani mwako na ndani ya moyo wako ili uweze kulitii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini neno li karibu nawe sana, li katika kinywa chako na moyo wako, upate kulifanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sivyo, ila zipo karibu nanyi, vinywani mwenu na mioyoni mwenu, mpate kuzitekeleza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani neno hilo linakukalia karibu sana, limo kinywani mwako namo moyoni mwako, upate kulifanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini neno li karibu nawe sana, li katika kinywa chako na moyo wako, upate kulifanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sivyo, lakini neno hili liko karibu nanyi, ndani ya vinywa vyenu na ndani ya mioyo yenu, mupate kulitimiza.