Deuteronomy 30:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Leo hii nawapeni uchaguzi kati ya mema na mabaya; kati ya uhai na kifo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, naweka mbele yako leo uzima na mafanikio, mauti na maangamizi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Leo hii nawapeni uchaguzi kati ya mema na mabaya; kati ya uhai na kifo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, naweka mbele yako leo uzima na mafanikio, mauti na maangamizo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, naweka mbele yako leo uzima na mafanikio, mauti na maangamizo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Leo hii nawapeni uchaguzi kati ya mema na mabaya; kati ya uhai na kifo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama, nimeweka leo mbele yako maisha na mema, tena kifo na mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Leo hii ninawapa uchaguzi kati ya mema na mabaya, kati ya uzima na kifo.