Deuteronomy 30:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mkipotoshwa na kukataa kumsikiliza, mkavutwa kuabudu miungu mingine na kuitumikia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama moyo wako ukigeukia mbali ukawa huna utii, kama umevutwa kuisujudia miungu mingine na kuiabudu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini moyo wako ukikengeuka, usipotaka kusikiza, lakini ukavutwa kando kwenda kuabudu miungu mingine, na kuitumikia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mkipotoshwa na kukataa kumsikiliza, mkavutwa kuabudu miungu mingine na kuitumikia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama moyo wako ukigeukia mbali ukawa huna utii, kama umevutwa kuisujudia miungu mingine na kuiabudu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama moyo wako ukigeukia mbali ukawa huna utii, kama umevutwa kuisujudia miungu mingine na kuiabudu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini moyo wako ukikengeuka, usipotaka kusikiliza, lakini ukavutwa kando kwenda kuabudu miungu mingine, na kuitumikia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mkipotoshwa na kukataa kumsikiliza, mkavutwa kuabudu miungu mingine na kuitumikia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini moyo wako utakapogeuka, usisikie, utadanganyika, utambikie miungu mingine na kuitumikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini moyo wako ukikengeuka, usipotaka kusikiza, lakini ukavutwa kando kwenda kuabudu miungu mingine, na kuitumikia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mukipotoshwa na kukataa kumusikiliza, mukivutwa kuabudu miungu mingine na kuitumikia,