Deuteronomy 30:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mimi nawatangazieni leo hii kwamba mtaangamia. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi mnayokwenda kuimiliki, ngambo ya mto wa Yordani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nakutangazia siku ya leo kwamba hakika utaangamizwa. Hutaishi maisha marefu katika nchi unayovuka Yordani kuiingia na kuimiliki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawahubiri hivi leo hakika mtaangamia; hamtazifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi, uivukiayo Yordani, uingie kuimiliki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mimi nawatangazieni leo hii kwamba mtaangamia. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi mnayokwenda kuimiliki, ng'ambo ya mto wa Yordani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nakutangazia leo hii kwamba hakika utaangamizwa. Hutaishi maisha marefu katika nchi unayovuka Yordani kuiingia na kuimiliki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nakutangazia leo hii kwamba hakika utaangamizwa. Hutaishi maisha marefu katika nchi unayovuka Yordani kuiingia na kuimiliki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawahubiria hivi leo hakika mtaangamia; hamtazifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi, uivukiayo Yordani, uingie kuimiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mimi nawatangazieni leo hii kwamba mtaangamia. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi mnayokwenda kuimiliki, ngambo ya mto wa Yordani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami ninawatangazia leo hivi: Mtaangamia kabisa, msikae siku nyingi katika hiyo nchi, unayouvukia Yordani, uiingie na kuichukua, iwe yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawahubiri hivi leo hakika mtaangamia; hamtazifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi, uivukiayo Yordani, uingie kuimiliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mimi ninawatangazia leo hii kwamba mutaangamia. Hamutaishi kwa muda murefu katika inchi munayokwenda kurizi, ngambo ya muto Yordani.