Deuteronomy 30:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mkamrudia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nyinyi na watoto wenu, mkatii kwa moyo wote na roho yote neno lake ninalowaamuru leo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hapo wewe na watoto wako mtakapomrudia Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na kumtii kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote kulingana na kila kitu ninachokuamuru leo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe utakapomrudia Bwana, Mungu wako, na kuitii sauti yake, mfano wa yote nikuagizayo leo, wewe na wanao, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mkamrudia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nyinyi na watoto wenu, mkatii kwa moyo wote na roho yote neno lake ninalowaamuru leo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hapo wewe na watoto wako mtakapomrudia BWANA Mungu wako, na kumtii kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote kulingana na kila kitu ninachokuamuru leo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hapo wewe na watoto wako mtakapomrudia bwana Mwenyezi Mungu wako, na kumtii kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote kulingana na kila kitu ninachokuamuru leo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe utakapomrudia BWANA, Mungu wako, na kuitii sauti yake, mfano wa yote nikuagizayo leo, wewe na wanao, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mkamrudia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nyinyi na watoto wenu, mkatii kwa moyo wote na roho yote neno lake ninalowaamuru leo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
napo utakaporudi kwa Bwana Mungu wako, uisikie sauti yake na kuyafuata yote, mimi ninayokuagiza leo, uyafanye wewe na wanao kwa mioyo yenu yote na kwa roho zenu zote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe utakapomrudia BWANA, Mungu wako, na kuitii sauti yake, mfano wa yote nikuagizayo leo, wewe na wanao, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukimurudilia Yawe, Mungu wenu, ninyi na watoto wenu, mukitii kwa moyo wote na roho yote neno lake ninalowaamuru leo,