Deuteronomy 30:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na hata kama mmetawanywa katika sehemu mbali kabisa duniani, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawakusanya na kuwarudisheni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata kama umefukuziwa katika nchi ya mbali kiasi gani chini ya mbingu, kutoka huko Mwenyezi Mungu, Mungu wako, atakukusanya na kukurudisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wako waliotawanyika wakiwako katika ncha za mbingu za mwisho, kutoka huko atakukusanya Bwana, Mungu wako; kutoka huko atakutwaa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na hata kama mmetawanywa katika sehemu mbali kabisa duniani, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawakusanya na kuwarudisheni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata kama umefukuziwa katika nchi ya mbali kiasi gani chini ya mbingu, kutoka huko BWANA Mungu wako atakukusanya na kukurudisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata kama umefukuziwa katika nchi ya mbali kiasi gani chini ya mbingu, kutoka huko bwana Mwenyezi Mungu wako atakukusanya na kukurudisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wako waliotawanyika wakiwako katika ncha za mbingu za mwisho, kutoka huko atakukusanya BWANA, Mungu wako; kutoka huko atakutwaa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na hata kama mmetawanywa katika sehemu mbali kabisa duniani, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawakusanya na kuwarudisheni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo, uwe umekumbwa kwenda hata mapeoni kwa mbingu, huko nako Bwana Mungu wako atakukusanya na kukuchukua huko,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wako waliotawanyika wakiwako katika ncha za mbingu za mwisho, kutoka huko atakukusanya BWANA, Mungu wako; kutoka huko atakutwaa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na hata kama mumetawanywa katika sehemu mbali kabisa katika dunia, Yawe, Mungu wenu, atawakusanya na kuwarudisha,