Deuteronomy 30:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili muimiliki tena nchi ambamo waliishi wazee wenu. Naye atawafanya mfanikiwe zaidi na kuwa wengi kuliko wazee wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye Mwenyezi Mungu atakurudisha katika nchi iliyokuwa mali ya baba zako, nawe utaimiliki. Naye atakufanya ufanikiwe sana na kukuzidisha kwa idadi kuliko baba zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
atakuleta Bwana, Mungu wako, uingie nchi waliyomiliki baba zako, nawe utaimiliki; naye atakutendea mema, na kukufanya uwe watu wengi kuliko baba zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili muimiliki tena nchi ambamo waliishi wazee wenu. Naye atawafanya mfanikiwe zaidi na kuwa wengi kuliko wazee wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakurudisha katika nchi iliyokuwa mali ya baba zako, nawe utaimiliki. Atakufanya ufanikiwe sana na kukuzidisha kwa idadi kuliko baba zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye bwana atakurudisha katika nchi iliyokuwa mali ya baba zako, nawe utaimiliki. Naye atakufanya ufanikiwe sana na kukuzidisha kwa idadi kuliko baba zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
atakuleta BWANA, Mungu wako, uingie nchi waliyomiliki baba zako, nawe utaimiliki; naye atakutendea mema, na kukufanya uwe watu wengi kuliko baba zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili muimiliki tena nchi ambamo waliishi wazee wenu. Naye atawafanya mfanikiwe zaidi na kuwa wengi kuliko wazee wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wako akupeleke katika nchi, baba zako waliyoichukua, iwe yao, uichukue nawe, iwe yako, kisha atakukalisha vema na kukufanya kuwa wengi kuliko baba zako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
atakuleta BWANA, Mungu wako, uingie nchi waliyomiliki baba zako, nawe utaimiliki; naye atakutendea mema, na kukufanya uwe watu wengi kuliko baba zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa kurizi tena inchi ambamo wazee wenu waliishi. Naye atawafanya mufanikiwe zaidi na kuwa wengi kuliko wazee wenu.