Deuteronomy 30:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atazifanya laana hizi zote ziwapate adui zenu ambao waliwatesa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu, Mungu wako, ataweka laana hizi zote juu ya adui zako ambao wanakuchukia na kukutesa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na laana hizi zote Bwana, Mungu wako, atawatia adui zako na hao wakuchukiao, waliokuwa wakikutesa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atazifanya laana hizi zote ziwapate adui zenu ambao waliwatesa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA Mungu wako ataweka laana hizi zote juu ya adui zako ambao wanakuchukia na kukutesa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana Mwenyezi Mungu wako ataweka laana hizi zote juu ya adui zako ambao wanakuchukia na kukutesa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na laana hizi zote BWANA, Mungu wako, atawatia adui zako na hao wakuchukiao, waliokuwa wakikutesa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atazifanya laana hizi zote ziwapate adui zenu ambao waliwatesa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Bwana Mungu wako atavitimiza hivyo viapizo vyote, viwapate adui zako na wachukivu wako waliokufukuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na laana hizi zote BWANA, Mungu wako, atawatia adui zako na hao wakuchukiao, waliokuwa wakikutesa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe, Mungu wenu, atafanya laana hizi zote ziwapate waadui zenu ambao waliwatesa.