Deuteronomy 30:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyi mtaitii sauti ya Mwenyezi-Mungu na kuzishika amri zake zote ninazowapeni leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utamtii tena Mwenyezi Mungu na kuzishika amri zake zote ninazokupa leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utarudi, uitii sauti ya Bwana, na kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyi mtaitii sauti ya Mwenyezi-Mungu na kuzishika amri zake zote ninazowapeni leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utamtii tena BWANA na kuzishika amri zake zote ninazokupa leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utamtii tena bwana na kuzishika amri zake zote ninazokupa leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utarudi, uitii sauti ya BWANA, na kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyi mtaitii sauti ya Mwenyezi-Mungu na kuzishika amri zake zote ninazowapeni leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe utaisikia tena sauti ya Bwana, uyafanye maagizo yake yote, mimi ninayokuagiza leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utarudi, uitii sauti ya BWANA, na kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi mutatii sauti ya Yawe na kushika amri zake zote ninazowapa leo.