Deuteronomy 31:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakati watu wa Israeli wanapokuja mbele ya Mwenyezi-Mungu mahali pale atakapochagua mtawasomea watu wote wa Israeli sheria hii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wote wanapokuja mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, mahali atakapopachagua, utasoma sheria hii mbele yao masikioni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Israeli wote wafikapo ili kuonekana mbele za Bwana, Mungu wako, mahali pale atakapopachagua, uisome torati hii mbele ya Israeli wote masikioni mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakati watu wa Israeli wanapokuja mbele ya Mwenyezi-Mungu mahali pale atakapochagua mtawasomea watu wote wa Israeli sheria hii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wote wanapokuja mbele za BWANA Mungu wenu mahali atakapopachagua, utasoma sheria hii mbele yao masikioni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wote wanapokuja mbele za bwana Mwenyezi Mungu wenu mahali atakapopachagua, utasoma sheria hii mbele yao masikioni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Israeli wote wafikapo ili kuonekana mbele za BWANA, Mungu wako, mahali pale atakapopachagua, uisome torati hii mbele ya Israeli wote masikioni mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakati watu wa Israeli wanapokuja mbele ya Mwenyezi-Mungu mahali pale atakapochagua mtawasomea watu wote wa Israeli sheria hii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waisiraeli wote watakapokuja kumtokea Bwana Mungu wako mahali pale, atakapopachagua, ndipo, utakapoyasoma Maonyo haya masikioni pao Waisiraeli wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Israeli wote wafikapo ili kuonekana mbele za BWANA, Mungu wako, mahali pale atakapopachagua, uisome torati hii mbele ya Israeli wote masikioni mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakati watu wa Israeli wanapokuja mbele ya Yawe pahali pale atakapochagua, mutawasomea watu wote wa Israeli sheria hii.