Deuteronomy 31:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wazawa wao ambao hawajasikia sheria ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, wapate kuisikia na kujifunza kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, muda wote mtakaoishi katika nchi ambayo mnakwenda kuimiliki ngambo ya mto Yordani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoto wao, ambao hawaijui sheria hii, lazima waisikie na kujifunza kumcha Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kwa muda mtakaoishi katika nchi mnayovuka Yordani kuimiliki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na watoto wao wasiojua, wapate kusikia na kujifunza kumcha Bwana, Mungu wenu, siku zote mtakazokaa katika nchi mnayoivukia Yordani ili kuimiliki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wazawa wao ambao hawajasikia sheria ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, wapate kuisikia na kujifunza kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, muda wote mtakaoishi katika nchi ambayo mnakwenda kuimiliki ng'ambo ya mto Yordani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoto wao, ambao hawaijui sheria hii, lazima waisikie na kujifunza kumcha BWANA Mungu wenu kwa muda mtakaoishi katika nchi mnayovuka Yordani kuimiliki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watoto wao, ambao hawaijui sheria hii, lazima waisikie na kujifunza kumcha bwana Mwenyezi Mungu wenu kwa muda mtakaoishi katika nchi mnayovuka Yordani kuimiliki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na watoto wao wasiojua, wapate kusikia na kujifunza kumcha BWANA, Mungu wenu, siku zote mtakazokaa katika nchi mnayoivukia Yordani ili kuimiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wazawa wao ambao hawajasikia sheria ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, wapate kuisikia na kujifunza kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, muda wote mtakaoishi katika nchi ambayo mnakwenda kuimiliki ngambo ya mto Yordani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wao wasioyajua na wayasikie, wapate kujifunza, wamwogope Bwana Mungu wenu siku zote, mtakazokuwako katika hiyo nchi, mnayoivukia Yordani, mpate kuichukua, iwe yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na watoto wao wasiojua, wapate kusikia na kujifunza kumcha BWANA, Mungu wenu, siku zote mtakazokaa katika nchi mnayoivukia Yordani ili kuimiliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wazao wao ambao hawajasikia sheria ya Yawe, Mungu wenu, wapate kuisikia na kujifunza kumwogopa Yawe, Mungu wenu, muda wote mutakaoishi katika inchi ambayo munakwenda kurizi ngambo ya muto Yordani.”