Deuteronomy 31:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye Mwenyezi-Mungu akawatokea humo katika nguzo ya wingu ambayo ilisimama kwenye mlango wa hema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akatokea katika Hema katika nguzo ya wingu, nalo wingu likasimama juu ya ingilio la Hema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akaonekana katika Hema katika nguzo ya wingu; na ile nguzo ya wingu ikasimama juu ya mlango wa Hema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye Mwenyezi-Mungu akawatokea humo katika nguzo ya wingu ambayo ilisimama kwenye mlango wa hema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akatokea katika Hema katika nguzo ya wingu, nalo wingu likasimama juu ya ingilio la Hema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akatokea katika Hema katika nguzo ya wingu, nalo wingu likasimama juu ya ingilio la Hema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akaonekana katika Hema katika nguzo ya wingu; na ile nguzo ya wingu ikasimama juu ya mlango wa Hema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye Mwenyezi-Mungu akawatokea humo katika nguzo ya wingu ambayo ilisimama kwenye mlango wa hema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akatokea mle Hemani katika wingu lililokuwa kama nguzo, nalo hilo wingu lililokuwa kama nguzo likasimama hapo pa kuliingilia Hema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akaonekana katika Hema katika nguzo ya wingu; na ile nguzo ya wingu ikasimama juu ya mlango wa Hema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
naye Yawe akawatokea humo katika nguzo ya wingu ambayo ilisimama kwenye mulango wa hema.