Deuteronomy 31:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika nitawaficha uso wangu kwa sababu wamefanya mambo maovu na kuigeukia miungu mingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami hakika nitauficha uso wangu siku hiyo kwa sababu ya maovu yao yote kwa kugeukia miungu mingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawaficha uso wangu kwa kweli siku hiyo, kwa maovu yote waliyoyafanya, kwa kuigeukia hiyo miungu mingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika nitawaficha uso wangu kwa sababu wamefanya mambo maovu na kuigeukia miungu mingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami hakika nitauficha uso wangu siku hiyo kwa sababu ya maovu yao yote kwa kugeukia miungu mingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami hakika nitauficha uso wangu siku hiyo kwa sababu ya maovu yao yote kwa kugeukia miungu mingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawaficha uso wangu kwa kweli siku hiyo, kwa maovu yote waliyoyafanya, kwa kuigeukia hiyo miungu mingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika nitawaficha uso wangu kwa sababu wamefanya mambo maovu na kuigeukia miungu mingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi nitauficha uso wangu kabisa siku hiyo kwa ajili ya mabaya yote, waliyoyafanya walipoigeukia hiyo miungu mingine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawaficha uso wangu kwa kweli siku hiyo, kwa maovu yote waliyoyafanya, kwa kuigeukia hiyo miungu mingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika nitawaficha uso wangu kwa sababu wamefanya mambo maovu na kugeukia miungu mingine.