Deuteronomy 31:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akawaambia, “Mimi sasa nina umri wa miaka 120, na sina nguvu ya kufanya kazi zaidi. Tena Mwenyezi-Mungu, ameniambia kuwa sitavuka mto Yordani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sasa nina miaka mia moja na ishirini nami siwezi tena kuwaongoza. Mwenyezi Mungu ameniambia, ‘Hutavuka Yordani.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Mimi leo ni mwenye miaka mia na ishirini; siwezi tena kutoka na kuingia, na Bwana ameniambia, Hutavuka mto huu Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akawaambia, “Mimi sasa nina umri wa miaka 120, na sina nguvu ya kufanya kazi zaidi. Tena Mwenyezi-Mungu, ameniambia kuwa sitavuka mto Yordani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sasa nina miaka mia moja na ishirini nami siwezi tena kuwaongoza. BWANA ameniambia, ‘Hutavuka Yordani.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa nina miaka mia moja na ishirini nami siwezi tena kuwaongoza. bwana ameniambia, ‘Hutavuka Yordani.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Mimi leo ni mwenye miaka mia moja na ishirini; siwezi tena kutoka na kuingia, na BWANA ameniambia, Hutavuka mto huu Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akawaambia, “Mimi sasa nina umri wa miaka 120, na sina nguvu ya kufanya kazi zaidi. Tena Mwenyezi-Mungu, ameniambia kuwa sitavuka mto Yordani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawaambia: Mimi leo ni mwenye miaka 120, siwezi tena kuingia na kutoka, naye Bwana aliniambia: Hutauvuka huu Yordani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Mimi leo ni mwenye miaka mia na ishirini; siwezi tena kutoka na kuingia, na BWANA ameniambia, Hutavuka mto huu Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akawaambia: “Mimi sasa nina umri wa miaka mia moja na makumi mbili, na sina nguvu ya kufanya kazi zaidi. Tena Yawe ameniambia kwamba sitavuka muto Yordani.