Deuteronomy 31:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose aliandika wimbo huo siku hiyohiyo, akawafundisha Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Musa akaandika wimbo huu siku ile na akawafundisha Waisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akauandika wimbo huu siku iyo hiyo, akawafundisha wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose aliandika wimbo huo siku hiyohiyo, akawafundisha Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Mose akaandika wimbo huu siku ile na akawafundisha Waisraeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Musa akaandika wimbo huu siku ile na akawafundisha Waisraeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akauandika wimbo huu siku hiyo hiyo, akawafundisha wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose aliandika wimbo huo siku hiyohiyo, akawafundisha Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku iyo hiyo Mose akauandika wimbo huo, akawafundisha wana wa Isiraeli kuuimba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akauandika wimbo huu siku iyo hiyo, akawafundisha wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akaandika wimbo huo siku hiyohiyo, akawafundisha Waisraeli.