Deuteronomy 31:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alipomaliza kuandika maneno ya sheria hiyo tangu mwanzo mpaka mwisho,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Musa kumaliza kuandika kwenye kitabu maneno ya sheria hii kutoka mwanzo hadi mwisho,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikawa hapo Musa alipomaliza kuandika maneno ya torati hii katika chuo, hata yakaisha,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alipomaliza kuandika maneno ya sheria hiyo tangu mwanzo mpaka mwisho,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Mose kumaliza kuandika kwenye kitabu maneno ya sheria hii kutoka mwanzo hadi mwisho,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Musa kumaliza kuandika kwenye kitabu maneno ya sheria hii kutoka mwanzo hadi mwisho,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikawa hapo Musa alipomaliza kuandika maneno ya torati hii katika kitabu, hata yakaisha,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alipomaliza kuandika maneno ya sheria hiyo tangu mwanzo mpaka mwisho,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose alipokwisha kuyaandika maneno ya Maonyo haya katika kitabu na kuyamaliza yote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikawa hapo Musa alipomaliza kuandika maneno ya torati hii katika chuo, hata yakaisha,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa alipomaliza kuandika maneno ya sheria hiyo tangu mwanzo mpaka mwisho,