Deuteronomy 31:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliwaambia Walawi, waliokuwa na jukumu la kubeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akawapa Walawi wale waliolibeba Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu agizo hili, akawaambia:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo Musa akawaamuru Walawi waliokuwa wakilichukua sanduku la agano la Bwana akawaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliwaambia Walawi, waliokuwa na jukumu la kubeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akawapa Walawi wale waliolibeba Sanduku la Agano la BWANA agizo hili, akawaambia:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akawapa Walawi wale waliolibeba Sanduku la Agano la bwana agizo hili, akawaambia:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo Musa akawaamuru Walawi waliokuwa wakilichukua sanduku la Agano la BWANA akawaambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliwaambia Walawi, waliokuwa na jukumu la kubeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akawaagiza Walawi waliolichukua Sanduku la Agano la Bwana kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo Musa akawaamuru Walawi waliokuwa wakilichukua sanduku la agano la BWANA akawaambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akawaambia Walawi waliokuwa wanabeba lile Sanduku la Agano la Yawe: