Deuteronomy 31:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu, Mose akakariri maneno ya wimbo huu mbele ya kusanyiko lote la Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akayasoma maneno ya wimbo huu kutoka mwanzo hadi mwisho katika masikio ya kusanyiko lote la Israeli:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akasema maneno ya wimbo huu masikioni mwa kusanyiko la wana wa Israeli hata yakaisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu, Mose akakariri maneno ya wimbo huu mbele ya kusanyiko lote la Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akayasoma maneno ya wimbo huu kutoka mwanzo hadi mwisho katika masikio ya kusanyiko lote la Israeli:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akayasoma maneno ya wimbo huu kutoka mwanzo hadi mwisho katika masikio ya kusanyiko lote la Israeli:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akasema maneno ya wimbo huu masikioni mwa kusanyiko la wana wa Israeli hata yakaisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu, Mose akakariri maneno ya wimbo huu mbele ya kusanyiko lote la Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akayasema maneno ya wimbo huu masikioni pao wa mkutano wote wa Waisiraeli na kuyamaliza yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akasema maneno ya wimbo huu masikioni mwa kusanyiko la wana wa Israeli hata yakaisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, Musa akasema maneno ya wimbo huu mbele ya kusanyiko lote la Waisraeli.