Deuteronomy 31:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atawapeni ushindi juu yao nanyi mtawatendea kama nilivyowaamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu atawakabidhi kwenu, nanyi lazima mkawatendee yale yote niliyowaamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Bwana atawatia mikononi mwenu, nanyi mtawatenda kadiri ya amri ile niliyowaamuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atawapeni ushindi juu yao nanyi mtawatendea kama nilivyowaamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA atawakabidhi kwenu, nanyi lazima mwatendee yale yote niliyowaamuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana atawakabidhi kwenu, nanyi lazima mwatendee yale yote niliyowaamuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye BWANA atawatia mikononi mwenu, nanyi mtawatenda kadiri ya amri ile niliyowaamuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atawapeni ushindi juu yao nanyi mtawatendea kama nilivyowaamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana atawatoa mbele yenu, mwafanyizie na kulifuata agizo, nililowaagiza ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA atawatia mikononi mwenu, nanyi mtawatenda kadiri ya amri ile niliyowaamuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atawapa ushindi juu yao nanyi mutawatendea kama vile nilivyowaamuru.