Deuteronomy 32:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwakuta katika nchi ya jangwa, nyika tupu zenye upepo mkali. Aliwalinda na kuwatunza, aliwafanya kama mboni ya jicho lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika nchi ya jangwa alimkuta, katika nyika tupu ivumayo upepo. Alimhifadhi na kumtunza; akamlinda kama mboni ya jicho lake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alimkuta katika nchi ya ukame, Na katika jangwa tupu litishalo; Alimzunguka, akamtunza; Akamhifadhi kama mboni ya jicho;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwakuta katika nchi ya jangwa, nyika tupu zenye upepo mkali. Aliwalinda na kuwatunza, aliwafanya kama mboni ya jicho lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika nchi ya jangwa alimkuta, katika nyika tupu ivumayo upepo. Alimhifadhi na kumtunza; akamlinda kama mboni ya jicho lake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika nchi ya jangwa alimkuta, katika nyika tupu ivumayo upepo. Alimhifadhi na kumtunza; akamlinda kama mboni ya jicho lake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alimkuta katika nchi ya ukame, Na katika jangwa tupu litishalo; Alimzunguka, akamtunza; Akamhifadhi kama mboni ya jicho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwakuta katika nchi ya jangwa, nyika tupu zenye upepo mkali. Aliwalinda na kuwatunza, aliwafanya kama mboni ya jicho lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alimwona katika nchi ya nyikani isiyo ya watu, nayo ilikuwa inatisha kwa ngurumo za nyama wa jangwani, akamkingia pande zote na kumjengea; kama ni mboni ya jicho lake, ndivyo, alivyomlinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alimkuta katika nchi ya ukame, Na katika jangwa tupu litishalo; Alimzunguka, akamtunza; Akamhifadhi kama mboni ya jicho;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alikuta Waisraeli katika inchi ya jangwa, jangwa tupu zenye upepo mukali. Aliwalinda na kuwatunza. Aliwakinga kama mboni ya jicho lake.