Deuteronomy 32:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama tai alindaye kiota chake, na kurukaruka juu ya makinda yake, akitandaza mabawa yake ili kuwashikilia, na kuwabeba juu ya mabawa yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama tai avurugaye kiota chake, na kurukaruka juu ya makinda yake, ambaye hutanda mabawa yake kuwadaka, na huwachukua kwenye mabawa yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfano wa tai ataharikishaye kioto chake; Na kupapatika juu ya makinda yake, Alikunjua mbawa zake, akawatwaa, Akawachukua juu ya mbawa zake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama tai alindaye kiota chake, na kurukaruka juu ya makinda yake, akitandaza mabawa yake ili kuwashikilia, na kuwabeba juu ya mabawa yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama tai avurugaye kiota chake, na kurukaruka juu ya makinda yake, ambaye hutanda mabawa yake kuwadaka, na huwachukua kwenye mbawa zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama tai avurugaye kiota chake, na kurukaruka juu ya makinda yake, ambaye hutanda mabawa yake kuwadaka, na huwachukua kwenye mabawa yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfano wa tai ataharikishaye kiota chake; Na kupapatika juu ya makinda yake, Alikunjua mbawa zake, akawatwaa, Akawachukua juu ya mbawa zake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama tai alindaye kiota chake, na kurukaruka juu ya makinda yake, akitandaza mabawa yake ili kuwashikilia, na kuwabeba juu ya mabawa yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alikuwa kama tai akitaka kuwainua hao wanawe kiotani na kupapatika juu yao hayo makinda yake; ndivyo, alivyoyakunjua mabawa yake, amchukue, ndivyo, alivyompeleka, akizikalia mbawa zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfano wa tai ataharikishaye kioto chake; Na kupapatika juu ya makinda yake, Alikunjua mbawa zake, akawatwaa, Akawachukua juu ya mbawa zake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa kama tai anayelinda chicha yake, anayeruka karibu ya vitoto vyake, akitandaza mabawa yake kwa kuwashikilia, na kuwabeba juu ya mabawa yake.