Deuteronomy 32:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwaongoza na hapakuwa na mungu mwingine wa kumsaidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu peke yake alimwongoza; hapakuwa na mungu mgeni pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana peke yake alimwongoza, Wala hapakuwa na mungu mgeni pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwaongoza na hapakuwa na mungu mwingine wa kumsaidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA peke yake alimwongoza; hakuwepo mungu mgeni pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana peke yake alimwongoza; hakuwepo mungu mgeni pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA peke yake alimwongoza, Wala hapakuwa na mungu mgeni pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwaongoza na hapakuwa na mungu mwingine wa kumsaidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye Bwana peke yake ndiye aliyemwongoza, mungu mwingine wa ugenini hakuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA peke yake alimwongoza, Wala hapakuwa na mungu mgeni pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye Yawe mwenyewe aliwaongoza na hakukuwa mungu mwingine wa kumusaidia.