Deuteronomy 32:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwapitisha katika nyanda za juu za nchi, nao wakala mazao ya mashambani. Akawapa asali miambani waonje na mafuta kutoka mwamba mgumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamfanya apande sehemu zilizoinuka za nchi, akamlisha kwa mavuno ya mashamba. Akamlea kwa asali toka mwambani, na kwa mafuta kutoka mwamba wa gumegume,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alimpandisha mahali pa nchi palipoinuka, Naye akala mazao ya mashamba; Akamnyonyesha asali iliyotoka jabalini, Na mafuta yaliyotoka katika mwamba wa gumegume;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwapitisha katika nyanda za juu za nchi, nao wakala mazao ya mashambani. Akawapa asali miambani waonje na mafuta kutoka mwamba mgumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamfanya apande sehemu zilizoinuka za nchi, akamlisha kwa mavuno ya mashamba. Akamlea kwa asali toka mwambani, na kwa mafuta kutoka mwamba mgumu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamfanya apande sehemu zilizoinuka za nchi, akamlisha kwa mavuno ya mashamba. Akamlea kwa asali toka mwambani, na kwa mafuta kutoka mwamba mgumu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alimpandisha mahali pa nchi palipoinuka, Naye akala mazao ya mashamba; Akamnyonesha asali iliyotoka jabalini, Na mafuta yaliyotoka katika mwamba wa gumegume;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwapitisha katika nyanda za juu za nchi, nao wakala mazao ya mashambani. Akawapa asali miambani waonje na mafuta kutoka mwamba mgumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akampitisha juu ya nchi akimlisha mazao ya mashambani, akamnyonyesha asali ya ngomeni na mafuta ya mwambani
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alimpandisha mahali pa nchi palipoinuka, Naye akala mazao ya mashamba; Akamnyonyesha asali iliyotoka jabalini, Na mafuta yaliyotoka katika mwamba wa gumegume;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwapitisha katika inchi za juu za vilima, nao wakakula mazao ya mashamba. Akawapa asali kutoka katika mawe waonje na mafuta kutoka katika jiwe gumu.