Deuteronomy 32:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwapa siagi na maziwa ya mifugo, mafuta ya wanakondoo na kondoo madume, makundi ya mifugo ya Bashani na mbuzi. Aliwapa ngano nzuri kabisa na divai mpya wakanywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa jibini na maziwa kutoka makundi ya ng’ombe na kutoka makundi ya mbuzi, kwa mafuta ya wana-kondoo na mbuzi, kwa kondoo dume wazuri wa Bashani, na kwa ngano nzuri. Ukanywa damu ya zabibu inayotoa povu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siagi ya ng'ombe, na maziwa ya kondoo, Pamoja na mafuta ya wana-kondoo, Kondoo waume wa Kibashani, na mbuzi, Na unono wa ngano iliyo nzuri; Ukanywa divai, damu ya mizabibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwapa siagi na maziwa ya mifugo, mafuta ya wanakondoo na kondoo madume, makundi ya mifugo ya Bashani na mbuzi. Aliwapa ngano nzuri kabisa na divai mpya wakanywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa jibini na maziwa kutoka makundi ya ng'ombe na kutoka makundi ya mbuzi, kwa mafuta ya wana-kondoo na mbuzi, kwa kondoo waume wazuri wa Bashani, na kwa ngano nzuri. Ukanywa damu ya zabibu inayotoa povu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa jibini na maziwa kutoka makundi ya ng’ombe na kutoka makundi ya mbuzi, kwa mafuta ya wana-kondoo na mbuzi, kwa kondoo dume wazuri wa Bashani, na kwa ngano nzuri. Ukanywa damu ya zabibu inayotoa povu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siagi ya ng'ombe, na maziwa ya kondoo, Pamoja na mafuta ya wana-kondoo, Kondoo dume wa Kibashani, na mbuzi, Na unono wa ngano iliyo nzuri; Ukanywa divai, damu ya mizabibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwapa siagi na maziwa ya mifugo, mafuta ya wanakondoo na kondoo madume, makundi ya mifugo ya Bashani na mbuzi. Aliwapa ngano nzuri kabisa na divai mpya wakanywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na siagi za ng'ombe na maziwa ya kondoo, nayo mafuta yao wana kondoo, nayo ya madume ya kondoo wa Basani, nayo ya madume ya mbuzi, nayo mafuta menginemengine kama ya kiini cha ngano, ukanywa nazo mvinyo nyekundu zilizo damu za zabibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siagi ya ng’ombe, na maziwa ya kondoo, Pamoja na mafuta ya wana-kondoo, Kondoo waume wa Kibashani, na mbuzi, Na unono wa ngano iliyo nzuri; Ukanywa divai, damu ya mizabibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwapa siagi na maziwa ya mifugo, mafuta ya wana-kondoo na kondoo dume, makundi ya mifugo ya Basani na mbuzi. Aliwapa ngano nzuri kabisa na divai mupya wakakunywa.