Deuteronomy 32:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimfanya aone wivu mkali kwa miungu yao, walimchochea akasirike kwa matendo yao ya kuchukiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamfanya Mungu kuwa na wivu kwa miungu yao migeni, na kumkasirisha kwa sanamu zao za machukizo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamtia wivu kwa miungu migeni, Wakamkasirisha kwa machukizo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimfanya aone wivu mkali kwa miungu yao, walimchochea akasirike kwa matendo yao ya kuchukiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamfanya Mungu kuwa na wivu kwa miungu yao migeni, na kumkasirisha kwa sanamu zao za machukizo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamfanya Mungu kuwa na wivu kwa miungu yao migeni, na kumkasirisha kwa sanamu zao za machukizo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamtia wivu kwa miungu migeni, Wakamkasirisha kwa machukizo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimfanya aone wivu mkali kwa miungu yao, walimchochea akasirike kwa matendo yao ya kuchukiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kufuata miungu migeni wakamchokoza, kwa kufanya yaliyomchukiza wakamkasirisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamtia wivu kwa miungu migeni, Wakamkasirisha kwa machukizo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamufanya aone wivu mukali kwa miungu yao, wakamuchochea akasirike kwa matendo yao ya kuchukiza.