Deuteronomy 32:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walitambikia majini ambayo hayakuwa miungu, waliiendea miungu ambayo hawakuijua kamwe, miungu mipya iliyotokea siku za karibuni, ambayo wazee wao hawakuiheshimu kamwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatoa dhabihu kwa pepo, ambao si Mungu: miungu wasiyoijua, miungu iliyojitokeza siku za karibuni, miungu ambayo baba zenu hawakuiogopa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walitoa sadaka kwa pepo, si Mungu, Kwa miungu wasiyoijua, Kwa miungu mipya iliyotokea siku zilizo karibu, Ambayo baba zenu hawakuiogopa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walitambikia majini ambayo hayakuwa miungu, waliiendea miungu ambayo hawakuijua kamwe, miungu mipya iliyotokea siku za karibuni, ambayo wazee wao hawakuiheshimu kamwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatoa dhabihu kwa pepo, ambao si Mungu: miungu wasiyoijua, miungu iliyojitokeza siku za karibuni, miungu ambayo baba zenu hawakuiogopa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatoa dhabihu kwa pepo, ambao si Mungu: miungu wasiyoijua, miungu iliyojitokeza siku za karibuni, miungu ambayo baba zenu hawakuiogopa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walitoa sadaka kwa pepo, si Mungu, Kwa miungu wasiyoijua, Kwa miungu mipya iliyotokea siku zilizo karibu, Ambayo baba zenu hawakuiogopa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walitambikia majini ambayo hayakuwa miungu, waliiendea miungu ambayo hawakuijua kamwe, miungu mipya iliyotokea siku za karibuni, ambayo wazee wao hawakuiheshimu kamwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ng'ombe za tambiko wakaitolea nayo mizimu isiyo Mungu, hata miungu mingine, wasiyoijua; kwa kuzushwa siku hizo za karibu ilikuwa mipya, nao baba zenu walikuwa hawakuipa macheo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walitoa sadaka kwa pepo, si Mungu, Kwa miungu wasiyoijua, Kwa miungu mipya iliyotokea siku zilizo karibu, Ambayo baba zenu hawakuiogopa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakatambikia pepo ambazo hazikukuwa miungu, wakaendea miungu ambayo hawakuijua hata kidogo, miungu mipya iliyotokea kwa siku za karibu, ambayo wazee wao hawakuiheshimu hata kidogo.