Deuteronomy 32:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hamkumjali Mwamba aliyewapa uhai, mlimsahau Mungu aliyewazaa nyinyi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi; mkamsahau Mungu aliyewazaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Humkumbuki Mwamba aliyekuzaa, Mungu aliyekuzaa umemsahau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hamkumjali Mwamba aliyewapa uhai, mlimsahau Mungu aliyewazaa nyinyi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi; mkamsahau Mungu aliyewazaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi; mkamsahau Mungu aliyewazaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Humkumbuki Mwamba aliyekuzaa, Mungu aliyekuzaa umemsahau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hamkumjali Mwamba aliyewapa uhai, mlimsahau Mungu aliyewazaa nyinyi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliyekuzaa ukamwazia kuwa si kitu, naye ni mwamba; ukamsahau Mungu, ambaye ulizaliwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Humkumbuki Mwamba aliyekuzaa, Mungu aliyekuzaa umemsahau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hamukumujali Mulima wenu, yule aliyewapa uzima. Mulimusahau Mungu aliyewazaa ninyi.