Deuteronomy 32:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu aliona jambo hilo akawaacha; aliwakataa watoto wake, waume kwa wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akaona hili, akawakataa, kwa sababu alikasirishwa na wanawe wa kiume na wa kike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akaona, akawachukia, Kwa sababu ya kukasirishwa na wanawe na binti zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu aliona jambo hilo akawaacha; aliwakataa watoto wake, waume kwa wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akaona hili, akawakataa, kwa sababu alikasirishwa na wanawe na binti zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akaona hili, akawakataa, kwa sababu alikasirishwa na wanawe na binti zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akaona, akawachukia, Kwa sababu ya kukasirishwa na wanawe na binti zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu aliona jambo hilo akawaacha; aliwakataa watoto wake, waume kwa wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana alipoyaona akawatupa kwa kuwakasirikia wanawe wa kiume na wa kike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akaona, akawachukia, Kwa sababu ya kukasirishwa na wanawe na binti zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe aliona jambo hilo akawaacha; aliwakataa watoto wake, wanaume na wanawake.