Deuteronomy 32:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hasira yangu imewaka moto, inachoma mpaka chini kuzimu, itateketeza dunia na vilivyomo, itaunguza misingi ya milima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, na kuwasha moto katika misingi ya milima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, moto umewashwa kwa hasira yangu, Unateketea hata chini ya kuzimu, Unakula dunia pamoja na mazao yake, Unaunguza misingi ya milima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hasira yangu imewaka moto, inachoma mpaka chini kuzimu, itateketeza dunia na vilivyomo, itaunguza misingi ya milima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, na kuwasha moto katika misingi ya milima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, na kuwasha moto katika misingi ya milima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, moto umewashwa kwa hasira yangu, Unateketea hata chini ya kuzimu, Unakula dunia pamoja na mazao yake, Unaunguza misingi ya milima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hasira yangu imewaka moto, inachoma mpaka chini kuzimu, itateketeza dunia na vilivyomo, itaunguza misingi ya milima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani uko moto uliowashwa na makali yangu, nao ukachoma na kufika hata kuzimuni kuliko chini ya nchi, ukaila nchi na mazao yake, nayo misingi ya milima ukaiunguza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, moto umewashwa kwa hasira yangu, Unateketea hata chini ya kuzimu, Unakula dunia pamoja na mazao yake, Unaunguza misingi ya milima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hasira yangu imewaka moto, inachoma mpaka chini kuzimu, itateketeza dunia na vinavyokuwa ndani yake, itaunguza misingi ya milima.