Deuteronomy 32:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitarundika maafa chungu nzima juu yao, nitawamalizia mishale yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitalundika majanga juu yao na kutumia mishale yangu dhidi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitaweka madhara juu yao chunguchungu; Nitawapiga kwa mishale yangu hata ikaishe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitarundika maafa chungu nzima juu yao, nitawamalizia mishale yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nitalundika majanga juu yao na kutumia mishale yangu dhidi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nitalundika majanga juu yao na kutumia mishale yangu dhidi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitaweka madhara juu yao chungu chungu; Nitawapiga kwa mishale yangu hata ikaishe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitarundika maafa chungu nzima juu yao, nitawamalizia mishale yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawapatia mabaya mengi, yawe chungu zima, nitaimaliza mishale yangu kwa kuwapiga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitaweka madhara juu yao chunguchungu; Nitawapiga kwa mishale yangu hata ikaishe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitalundika hasara nyingi juu yao, nitawamalizia mishale yangu.