Deuteronomy 32:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakonda kwa njaa, wataangamizwa kwa homa kali. Nitapeleka wanyama wenye meno makali kuwashambulia, na nyoka wenye sumu wanaotambaa mavumbini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitatuma njaa ya kudhoofisha dhidi yao, maradhi mabaya yateketezayo, na tauni ya kufisha; nitawapelekea wanyama mwitu wenye meno makali, na nyoka wenye sumu watambaao mavumbini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watakonda kwa njaa, wataliwa na makaa ya moto, Na uharibifu mkali; Nitawapelekea meno ya wanyama wakali, Pamoja na sumu ya wadudu watambaao mavumbini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakonda kwa njaa, wataangamizwa kwa homa kali. Nitapeleka wanyama wenye meno makali kuwashambulia, na nyoka wenye sumu wanaotambaa mavumbini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitatuma njaa kali dhidi yao maradhi mabaya, yateketezayo na tauni ya kufisha; nitawapelekea meno makali ya wanyama mwitu, na sumu ya nyoka wale watambaao mavumbini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitatuma njaa kali dhidi yao maradhi mabaya, yateketezayo na tauni ya kufisha; nitawapelekea meno makali ya wanyama mwitu, na sumu ya nyoka wale watambaao mavumbini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watakonda kwa njaa, wataliwa na makaa ya moto, Na uharibifu mkali; Nitawapelekea meno ya wanyama wakali, Pamoja na sumu ya wadudu watambaao mavumbini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakonda kwa njaa, wataangamizwa kwa homa kali. Nitapeleka wanyama wenye meno makali kuwashambulia, na nyoka wenye sumu wanaotambaa mavumbini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakapokuwa, wazimie roho kwa njaa tu, tena itakapokuwa, waliwe na moto ulio wa homa kali, itakapokuwa, wapatwe na magonjwa yenye uchungu, ndipo, nitakapotuma kwao nyama wenye meno makali na nyoka wenye sumu watambaao uvumbini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watakonda kwa njaa, wataliwa na makaa ya moto, Na uharibifu mkali; Nitawapelekea meno ya wanyama wakali, Pamoja na sumu ya wadudu watambaao mavumbini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakonda kwa njaa, wataangamizwa kwa homa kali. Nitaleta nyama wenye meno makali kuwashambulia, na nyoka wenye sumu wanaotambaa juu ya mavumbi.