Deuteronomy 32:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vita vitasababisha vifo vingi nje na majumbani hofu itawatawala, vijana wa kiume na wa kike watauawa hata wanyonyao na wazee wenye mvi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Barabarani upanga utawakosesha watoto; nyumbani mwao hofu itatawala. Vijana wao wa kiume na wa kike wataangamia, pia watoto wachanga na wazee wenye mvi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nje upanga utawafifiliza Na ndani ya vyumba, utisho; Utaangamiza mvulana na msichana, Anyonyaye pamoja na mwenye mvi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vita vitasababisha vifo vingi nje na majumbani hofu itawatawala, vijana wa kiume na wa kike watauawa hata wanyonyao na wazee wenye mvi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Barabarani upanga utawakosesha watoto; nyumbani mwao hofu itatawala. Vijana wao wa kiume na wa kike wataangamia, pia watoto wachanga na wazee wenye mvi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Barabarani upanga utawakosesha watoto; nyumbani mwao hofu itatawala. Vijana wao wa kiume na wa kike wataangamia, pia watoto wachanga na wazee wenye mvi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nje upanga utawafisha Na ndani ya vyumba, utisho; Utaangamiza mvulana na msichana, Anyonyaye pamoja na mwenye mvi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vita vitasababisha vifo vingi nje na majumbani hofu itawatawala, vijana wa kiume na wa kike watauawa hata wanyonyao na wazee wenye mvi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upanga utawaua wana huko nje, namo nyumbani mwao yatakuwa mastusho; ndipo, watakapokufa vijana wa kiume na wa kike, hata wachanga pamoja na wazee.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nje upanga utawafifiliza Na ndani ya vyumba, utisho; Utaangamiza mvulana na msichana, Anyonyaye pamoja na mwenye mvi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vita itasababisha vifo vingi inje, na ndani ya nyumba hofu itawatawala. Vijana wanaume na wanawake watauawa, hata wenye kunyonya na wazee wenye imvi.