Deuteronomy 32:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilisema, ningaliwaangamiza kabisa na kuwafanya wasikumbukwe tena na mtu yeyote,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilisema ningewatawanya na kufuta kumbukumbu lao katika mwanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalisema, Ningewatawanyia mbali, Ningekomesha kumbukumbu lao kati ya wanadamu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilisema, ningaliwaangamiza kabisa na kuwafanya wasikumbukwe tena na mtu yeyote,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilisema ningewatawanya na kufuta kumbukumbu lao katika mwanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilisema ningewatawanya na kufuta kumbukumbu lao katika mwanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilisema, Ningewatawanyia mbali, Ningekomesha kumbukumbu lao kati ya wanadamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilisema, ningaliwaangamiza kabisa na kuwafanya wasikumbukwe tena na mtu yeyote,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ningesema: Na niwapeperushe, niwakomeshe watu, wasiwakumbuke tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalisema, Ningewatawanyia mbali, Ningekomesha kumbukumbu lao kati ya wanadamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ningaliwaangamiza kabisa na kuwafanya wasikumbukwe tena na mutu yeyote,