Deuteronomy 32:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Israeli ni taifa lisilo na akili, watu wake hawana busara ndani yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao ni taifa lisilo na akili, hakuna busara ndani yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hawa ni taifa wasio shauri, Wala fahamu hamna ndani yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Israeli ni taifa lisilo na akili, watu wake hawana busara ndani yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao ni taifa lisilo na akili, hakuna busara ndani yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao ni taifa lisilo na akili, hakuna busara ndani yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hawa ni taifa wasio shauri, Wala fahamu hamna ndani yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Israeli ni taifa lisilo na akili, watu wake hawana busara ndani yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndio taifa la watu waliopotelewa na akili, kwa hiyo hakuna utambuzi unaooneka kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hawa ni taifa wasio shauri, Wala fahamu hamna ndani yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Israeli ni taifa lisilokuwa na akili, watu wake hawana ufahamu ndani yao.