Deuteronomy 32:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana nitalitangaza jina la Mwenyezi-Mungu, nanyi mseme, ‘Mungu wetu ni Mkuu’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitalitangaza jina la Mwenyezi Mungu. Naam, sifuni ukuu wa Mungu wetu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nitalitangaza Jina la Bwana; Mpeni ukuu Mungu wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana nitalitangaza jina la Mwenyezi-Mungu, nanyi mseme, ‘Mungu wetu ni Mkuu’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitalitangaza jina la BWANA. Naam, sifuni ukuu wa Mungu wetu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitalitangaza jina la bwana. Naam, sifuni ukuu wa Mungu wetu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nitalitangaza Jina la BWANA; Mpeni ukuu Mungu wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana nitalitangaza jina la Mwenyezi-Mungu, nanyi mseme, ‘Mungu wetu ni Mkuu’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nitalitangaza Jina la Bwana, nanyi mpeni ukuu aliye Mungu wetu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nitalitangaza Jina la BWANA; Mpeni ukuu Mungu wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana nitatangaza jina la Yawe, nanyi museme: “Mungu wetu ni Mukubwa”.