Deuteronomy 32:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu mmoja anawezaje kuwashinda watu 1,000, au watu wawili wanawezaje kuwashinda watu 10,000, isipokuwa kama Mwamba wao amewatupa, Mwenyezi-Mungu wao amewaacha?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mmoja angewezaje kufukuza elfu moja, au wawili kufukuza elfu kumi, kama si kwamba Mwamba wao amewauza, kama si kwamba Mwenyezi Mungu amewaacha?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mmoja angefukuzaje watu elfu, Wawili wangekimbizaje elfu kumi, Kama Mwamba wao asingaliwauza, Kama Bwana asingaliwatoa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu mmoja anawezaje kuwashinda watu 1,000, au watu wawili wanawezaje kuwashinda watu 10,000, isipokuwa kama Mwamba wao amewatupa, Mwenyezi-Mungu wao amewaacha?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mmoja angewezaje kufukuza elfu moja, au wawili kufukuza elfu kumi, kama si kwamba Mwamba wao amewauza, kama si kwamba BWANA amewaacha?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mmoja angewezaje kufukuza elfu moja, au wawili kufukuza elfu kumi, kama si kwamba Mwamba wao amewauza, kama si kwamba bwana amewaacha?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmoja angefukuzaje watu elfu, Wawili wangekimbizaje elfu kumi, Kama Mwamba wao asingaliwauza, Kama BWANA asingaliwatoa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu mmoja anawezaje kuwashinda watu 1,000, au watu wawili wanawezaje kuwashinda watu 10,000, isipokuwa kama Mwamba wao amewatupa, Mwenyezi-Mungu wao amewaacha?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inawezekanaje, mtu mmoja akifukuza watu elfu, au wawili wakikimbiza watu maelfu kumi? Sio kwa sababu yule aliye mwamba wao amekwisha kuwauza? Sio kwa sababu Bwana amewatia mikononi mwao wengine?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mmoja angefukuzaje watu elfu, Wawili wangekimbizaje elfu kumi, Kama Mwamba wao asingaliwauza, Kama BWANA asingaliwatoa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu mumoja anaweza namna gani kuwashinda watu elfu moja, au watu wawili wanaweza namna gani kuwashinda watu elfu kumi, isipokuwa kama mulinzi wao amewatupa, Yawe amewaacha?