Deuteronomy 32:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Divai yao ni kama sumu ya nyoka, ina sumu kali ya majoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mvinyo wao ni sumu ya nyoka, sumu yenye kufisha ya swila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mvinyo yao ni sumu ya majoka, Uchungu mkali wa nyoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Divai yao ni kama sumu ya nyoka, ina sumu kali ya majoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mvinyo wao ni sumu ya nyoka, sumu yenye kufisha ya swila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mvinyo wao ni sumu ya nyoka, sumu yenye kufisha ya swila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mvinyo yao ni sumu ya majoka, Uchungu mkali wa nyoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Divai yao ni kama sumu ya nyoka, ina sumu kali ya majoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa uchungu wa majoka nvinyo zao huwasha; kama sumu kali za pili zilivyo, ndivyo, zilivyo nazo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mvinyo yao ni sumu ya majoka, Uchungu mkali wa nyoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Divai yao ni kama sumu ya nyoka, ina sumu kali ya nyoka kubwa.