Deuteronomy 32:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je sina njia ya kuwaadhibu? Silaha zangu ninazo mkononi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, hili sikuliweka akiba na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Haya hayakuwekwa akiba kwangu? Na kutiwa muhuri kati ya hazina yangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je sina njia ya kuwaadhibu? Silaha zangu ninazo mkononi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, hili sikuliweka akiba na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, hili sikuliweka akiba na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Haya hayakuwekwa akiba kwangu? Na kutiwa mhuri kati ya hazina yangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je sina njia ya kuwaadhibu? Silaha zangu ninazo mkononi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe haya hayakuwekwa na kufungiwa kwangu? Kumbe hayamo katika vilimbiko vyangu kwa kutiwa muhuri?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Haya hayakuwekwa akiba kwangu? Na kutiwa muhuri kati ya hazina yangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sina njia ya kuwaazibu? Silaha zangu ziko katika mukono wangu.